Monday, August 19, 2013

CHANGIZO KWA AJILI YA HUDUMA YA INJILI (OUTREACH MISSION) MAKUYU-GAIRO (MOROGORO)





WanaCASFETA Chuo Kikuu Mzumbe tunategemea kuwa na huduma ya injili  katika kijiji cha Makuyu-Gairo kati ya trh 06-14/07/2013
Gharama za kufanikisha huduma hii ni Milioni nane Taslimu (Tsh 8,000,000/-)

Hivyo tunaomba kukushirikisha Baraka hizi kwa kutoa mchango wako kufanikisha kazi hii ya Bwana. Unaweza kutuma mchango wako kwenye A/C no 01J2012259800 (CASFETA MZUMBE UNIVERSITY), M-pesa no 0763 728246 na Tigo-pesa no 0657 894065
Mungu na akubariki sana kwa kujitoa kwako!!
Mawasiliano;
0716 674614 –M/kiti wa kamati ya Outreach
0766 979497 Katibu kamati ya Outreach

0 comments:

Post a Comment